Msaada nnataka kusoma online university vya nje nahitaji kujua jinsi ya kutambua vyuo vinavyotambulika

Unataka pia upate certificate za kuombea kazi baada ya kumaliza elimu yako....!?
 
Inawezekana bosi..Mimi nilipiga Post Diploma ya Project management Monash Online Australia, nilisoma kwa mwaka mmoja na Miezi 2 kwa Unit zote mfululizo, Sema Ada yake inabidi ujipinde Haswa.. inafika mpaka Milioni 16..Mimi Cheti nimepewa kabisa[emoji3526]
Kuna free course kama unataka Ujuzi tu ingia Youtube ila kama unataka kuwa Certified kwa mfano Udemy au Coursera wanaweza kukupa free course ila ukitaka Cheti unalipia
 
Naomba website Yao nijue jinsi ya kujiunga hyo ya free sihitaji cheti,hyo million 16 mkuu parefu
 
Back
Top Bottom