Inawezekana bosi..Mimi nilipiga Post Diploma ya Project management Monash Online Australia, nilisoma kwa mwaka mmoja na Miezi 2 kwa Unit zote mfululizo, Sema Ada yake inabidi ujipinde Haswa.. inafika mpaka Milioni 16..Mimi Cheti nimepewa kabisa[emoji3526]
Kuna free course kama unataka Ujuzi tu ingia Youtube ila kama unataka kuwa Certified kwa mfano Udemy au Coursera wanaweza kukupa free course ila ukitaka Cheti unalipia