Msaada: Nomba kujua kwanini goli la tatu la Arsenal dhidi ya Crystal Palace lilikataliwa

Msurunje

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2019
Posts
219
Reaction score
343
Habari zanu ndugu Wanaspot wa JF!

Naombeni msaada kwa mwenye kujua sababu ya kukataliwa kwa goli la Arsenal dhidi ya Crystal Palace jana kwenye mchezo wa EPL lililofungwa na beki Sokratis

Nimeangalia marudio ya hiyo lakini bado sijajua sababu ya kukataliwa kwa goli lile. Hebu mwenye kujua atoe msaada
 
Ndugu lile ni gori sahihi kabisa hakuna makosa yeyote pale VAR ni utumbo tu haisaidi chochote zaidi yakuongeza matatizo tu.
 
Sio goli halali kwa kuwa kabla ya sokratis kufunga kuna mtu alishamsukuma mchezaji wa palace japo sokra alifunga kwa usahihi ila mazingira ya upatikanaji yalikuwa haramu
 
Mamaee var itawaua mwaka huu

Manakumbuka gori la man city na spurs dakika za mwisho lilivokataliwa,

Ujinga tu var
 
Var ni ungesemera flani hivi ulioletwa na makampuni ya kubeti ili kurekebisha matokeo yatakayoweza kuwafeva.....
 
Goli la Arsenal na Man U..ila VAR inawabeba sana City na Liverpool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…