Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant

Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant

Mejasoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
298
Reaction score
600
Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant,
Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
 
Wewe jiandae kisaikolojia mkuu! Mithani ya utumishi haijulikani na ni very heavy! Kama unajua unajua tu! Kama hujui hujui! Watakuuliza kulingana na majukumu yako ya kazi! Japo wanatembea kwenye eneo lako la kozi husika! Vile vyitu ulivyokuwa unavidharau chuo ndivyo utakavyoulizwa huko! Kiufupi vile ulivyokuwa unajiandaa na UE ndivyo unapaswa kujiandaa mkuu! Soma sana !
 
Ukifuka written andaa presentation harafu maswali ya oral utakayo uliza yanatokana na presentation yako hivyo andaa kitu unacho. Kuelewa sana
 
Back
Top Bottom