Msaada "Not registered on network"

Msaada "Not registered on network"

Hiyo simu ina lock ktk network na simu hizo hua zinafungwa tangu kwao.
Hivyo jiandae kwa hela refu tu kuitoa lock yake kwani lazima ununue online key zake.
Na vile vile upate mafundi hodar na sio hawa wa kueka vibanda njee.
Mm nilikua nayo simu yangu ina tatizo hilo.
Hapana mkuu..hiyo sio lock..ni imei ime corrupt
 
Network lock ingemwandikia enter nework unlock pin
Hiyo simu ina lock ktk network na simu hizo hua zinafungwa tangu kwao.
Hivyo jiandae kwa hela refu tu kuitoa lock yake kwani lazima ununue online key zake.
Na vile vile upate mafundi hodar na sio hawa wa kueka vibanda njee.
Mm nilikua nayo simu yangu ina tatizo hilo.
 
Samahani, Hii teamviewer si ina ruhusu wewe kuona mafile yangu ndani ya Pc?
Ndio mkuu...Sina shida na files zako..kama unawasiwasi unaweza kuzificha au ukatumia pc nyingine...
 
Hii ngumu kumeza, hauna njia nyingine tofauti na hii ya teamviewer ambayo unaweza nilielekeza nikaifanya mwenyewe?
 
Wewe tafuta pc nyingine tu...hayo maelezo unayotaka sidhan kama kuna fundi ataanza kuandika process nzima had mwisho wa hiyo kazi...Usi underestimate hilo tatizo lako...ni kubwa sana
 
Sawa
 
mwache akatafute njia nyingine mkuu inaonekana kama unambembeleza vile wakati mwenye shida ni yeye
 
Back
Top Bottom