Okey mkuu...kwel sikukupata vizurNdio Imei sahii ipo (kwenye receipt)
Hapana mkuu..hiyo sio lock..ni imei ime corruptHiyo simu ina lock ktk network na simu hizo hua zinafungwa tangu kwao.
Hivyo jiandae kwa hela refu tu kuitoa lock yake kwani lazima ununue online key zake.
Na vile vile upate mafundi hodar na sio hawa wa kueka vibanda njee.
Mm nilikua nayo simu yangu ina tatizo hilo.
Hiyo simu ina lock ktk network na simu hizo hua zinafungwa tangu kwao.
Hivyo jiandae kwa hela refu tu kuitoa lock yake kwani lazima ununue online key zake.
Na vile vile upate mafundi hodar na sio hawa wa kueka vibanda njee.
Mm nilikua nayo simu yangu ina tatizo hilo.
Okey..una pc hapo?Ipo rooted tayari
TeamViewer 14.0.13880 for PC WindowsNdio
Dawa ni kuirudisha dukani kama rist bado unayoNdio Imei sahii ipo (kwenye receipt)
Samahani, Hii teamviewer si ina ruhusu wewe kuona mafile yangu ndani ya Pc?TeamViewer 14.0.13880 for PC Windows
Pakua hiyo teamviwer then nichek Pm nikusaidie kusov kwa teamviwer
Ndio mkuu...Sina shida na files zako..kama unawasiwasi unaweza kuzificha au ukatumia pc nyingine...Samahani, Hii teamviewer si ina ruhusu wewe kuona mafile yangu ndani ya Pc?
Yani mtu unamsaidia bado anakuletea wasiwasi. Basi jamaa aende Kko tuuuNdio mkuu...Sina shida na files zako..kama unawasiwasi unaweza kuzificha au ukatumia pc nyingine...
Nahis hajajua uzito wa tatizo lake...so far nimeheshim privacy yake pia..Yani mtu unamsaidia bado anakuletea wasiwasi. Basi jamaa aende Kko tuuu
Wewe tafuta pc nyingine tu...hayo maelezo unayotaka sidhan kama kuna fundi ataanza kuandika process nzima had mwisho wa hiyo kazi...Usi underestimate hilo tatizo lako...ni kubwa sanaHii ngumu kumeza, hauna njia nyingine tofauti na hii ya teamviewer ambayo unaweza nilielekeza nikaifanya mwenyewe?
mwache akatafute njia nyingine mkuu inaonekana kama unambembeleza vile wakati mwenye shida ni yeyeWewe tafuta pc nyingine tu...hayo maelezo unayotaka sidhan kama kuna fundi ataanza kuandika process nzima had mwisho wa hiyo kazi...Usi underestimate hilo tatizo lako...ni kubwa sana
Kwakua umesema simu ipo rooted tayari jaribu kutumia Mobile Uncle.Sawa
Ameroot simu. Waranty ishakua void labda afanye kuunroot ndiyo awarudishie.Dawa ni kuirudisha dukani kama rist bado unayo