Nenda keko Kwa mafundi vitanda wape mchoro au design utakayo hakuna kigumu hapo wameweka mbwembwe tu hapo
Acha utoto,kuna vitu vimewekwa hapo havina maana,mfano hicho kimfano cha kiti cha kulala,kitanda kinafanya kazi hiyo hivyo kikochi ambatanishwa kilipaswa kuwa cha muundo wa kukaa,
Aisee kwanza serikali 'wakikueka ndani' hiyo siku huwa unapatwa na usingizi wa ajabu bana. Mgeni maalum wa vyombo vya usalama. We acha tu, yaani no stress, kwa sakafu tena. 😀Usingizi ni uleule