Msaada:Ntapata wapi kitanda cha aina hii?

Msaada:Ntapata wapi kitanda cha aina hii?

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
20180403_144554.png
20180403_144554.png
 
Acha utoto,kuna vitu vimewekwa hapo havina maana,mfano hicho kimfano cha kiti cha kulala,kitanda kinafanya kazi hiyo hivyo kikochi ambatanishwa kilipaswa kuwa cha muundo wa kukaa,
Nyuma ya deck ya kitanda ulipaswa kuweka shelve za kupanga nguo,furniture nyingi za zama hizi hulenga siyo mapambo hulenga kubana nafasi ili vitu visiwe kibao nyumbani
 
Nenda kwa mafundi samani..ila usitegemee kuwekewa hiyo redio na hizo spika
 
Usingizi ni uleule
Aisee kwanza serikali 'wakikueka ndani' hiyo siku huwa unapatwa na usingizi wa ajabu bana. Mgeni maalum wa vyombo vya usalama. We acha tu, yaani no stress, kwa sakafu tena. 😀
 
Back
Top Bottom