Bismack
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 387
- 495
Jamani huu umasikini unatunyima mambo mazuri, unaweza kujikuta umetoa mtu kafara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani huu umasikini unatunyima mambo mazuri, unaweza kujikuta umetoa mtu kafara
Ushindwe mwenyewe tu kutia mimba hapa.
Hapo unaongelea mtu asie na kitu lkn mwenye hela sidhan kama hizo story za kubana nafasi atazielewaAcha utoto,kuna vitu vimewekwa hapo havina maana,mfano hicho kimfano cha kiti cha kulala,kitanda kinafanya kazi hiyo hivyo kikochi ambatanishwa kilipaswa kuwa cha muundo wa kukaa,
Nyuma ya deck ya kitanda ulipaswa kuweka shelve za kupanga nguo,furniture nyingi za zama hizi hulenga siyo mapambo hulenga kubana nafasi ili vitu visiwe kibao nyumbani
Furnitures ziendane na nyumba jamaani!!
Mafundi wengi wa kibongo ni pasua vichwaKama unataka kugombana na mafundi wa bongo we mpe akutengenezee icho kitanda. Kama umekipenda bora ukanunua ulikokiona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We umetoa wapi hiyo picha? Ukiambiwa million 120 unazo!
Inaonyesha picha ilipigwa tarehe 03/04/2018
SAA 14:45: 54
Ulipiga wapi hiyo picha tuanzie hapo