LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,320 Reaction score 6,686 Nov 21, 2015 #1 Wakuu, Nimepatwa na ugonjwa hapa wa maumivu makali ya nyama za mwili wote, zinaumaa sana. Nahitaji msaada kwa anayeijua tiba,maana hakulaliki wala hakukaliki, hali ni mbaya.
Wakuu, Nimepatwa na ugonjwa hapa wa maumivu makali ya nyama za mwili wote, zinaumaa sana. Nahitaji msaada kwa anayeijua tiba,maana hakulaliki wala hakukaliki, hali ni mbaya.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Nov 21, 2015 #2 Nenda hospitali....humu utapigwa ramli tu
back town JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 471 Reaction score 365 Nov 21, 2015 #3 hospitali tu
mamitod JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 914 Reaction score 385 Nov 21, 2015 #4 LUBEDE said: Wakuu nimepatwa na ugonjwa hapa wa maumivu makali ya nyama za mwili wote,zinaumaa sana,nahitaji msaada kwa anayeijua tiba,maana hakulaliki wala hakukaliki,hali ni mbaya.. Click to expand... Jieleze vizuri unajisikiaje nn kinakutokea?
LUBEDE said: Wakuu nimepatwa na ugonjwa hapa wa maumivu makali ya nyama za mwili wote,zinaumaa sana,nahitaji msaada kwa anayeijua tiba,maana hakulaliki wala hakukaliki,hali ni mbaya.. Click to expand... Jieleze vizuri unajisikiaje nn kinakutokea?
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,374 Reaction score 6,857 Nov 21, 2015 #5 Ni uchovu tu relax kama bahari ipo karibu kaoge maji chunvi mara 3