Msaada: Nyama za mwili zinaniuma

Msaada: Nyama za mwili zinaniuma

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,320
Reaction score
6,686
Wakuu,

Nimepatwa na ugonjwa hapa wa maumivu makali ya nyama za mwili wote, zinaumaa sana.

Nahitaji msaada kwa anayeijua tiba,maana hakulaliki wala hakukaliki, hali ni mbaya.
 
Wakuu nimepatwa na ugonjwa hapa wa maumivu makali ya nyama za mwili wote,zinaumaa sana,nahitaji msaada kwa anayeijua tiba,maana hakulaliki wala hakukaliki,hali ni mbaya..

Jieleze vizuri unajisikiaje nn kinakutokea?
 
Ni uchovu tu relax kama bahari ipo karibu kaoge maji chunvi mara 3
 
Back
Top Bottom