mgange hussein
Senior Member
- Sep 10, 2012
- 159
- 43
Amani kwenu wana jamii.Mimi ni kijana wa kiume,nimetokea nyayo kupata joto sana hasa ninapotulia.Nifanyaje kuondoa tatiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bw Mgange, ningelikushauri uende hospital, wakakuangalie, nafikiri tatizo lako kubwa liko kwenye uti wa mgongo hasa lamba-sacral area. kama uko dar nenda karibu na protea hotel kuna clinic inamaspecialist wa aina zote, piga simu 07196746616 au 0759674616Amani kwenu wana jamii.Mimi ni kijana wa kiume,nimetokea nyayo kupata joto sana hasa ninapotulia.Nifanyaje kuondoa tatiz
Nashukuru sana ushauri wenu ndugu.Nitajitahidi kufuata ushauri wenu.
Mm nina tatizo kama hili linanisumbua sana karibu miaka m2 sasa msaada pia
Kapime kisukari kamanda, ni dalili ya kisukari 🙁tatizo la kutoka jasho au?soma soln hapo juu
tatizo la kutoka jasho au?soma soln hapo juu
Bwana Tibaijuka, nna tatizo kama hili. nyayo zinauma nikisimama, hata nikiwa nimelala nyayo zinauma na kama kuwaka moto. Pia mgongo sehemu ya kiuno unaniuma . huwa nina tatizo la gout, sijui viko related!Bw Mgange, ningelikushauri uende hospital, wakakuangalie, nafikiri tatizo lako kubwa liko kwenye uti wa mgongo hasa lamba-sacral area. kama uko dar nenda karibu na protea hotel kuna clinic inamaspecialist wa aina zote, piga simu 07196746616 au 0759674616