Msaada nyayo zinawaka moto!!!

Msaada nyayo zinawaka moto!!!

mgange hussein

Senior Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
159
Reaction score
43
Amani kwenu wana jamii.Mimi ni kijana wa kiume,nimetokea nyayo kupata joto sana hasa ninapotulia.Nifanyaje kuondoa tatiz
 
je tumbo lina jaa gas,je mtu wa kuwa na mawazo kwa mda mrefu au kuna kitu kinakusumbua kinapelekea uwaze sana,je unafurahia tendo la ndoa au kunakipindi hujisikii kabisa kutenda,je kuna wakati ukiamka kunajisikia kichwa kuuma.je kuna baadhi ya vyakuya ukivikosa unajisikia vibaya na maani kama mama mjamzito kuna baadhi ya vitu uwa ana vipenda kupitiliza.je unabagua chakula hasa nyama.je ukiwa na hasira ndio moto unaongezeka,je uwaunakasirika hata kama kitu ni kidogo.je una pata choo vizuri au ni kilaini au kama cha mbuzi. naomba nijibu nijue nikushauri vipi?
 
sina tatizo ya mfumo wa tumbo,ninapokaa hata nikakiwa nimetulia bila mawazo wala hasira hali inatokea nyayo kupata joto
 
Hili tatzo you are not alone kuna friend wangu analo vilevile

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Amani kwenu wana jamii.Mimi ni kijana wa kiume,nimetokea nyayo kupata joto sana hasa ninapotulia.Nifanyaje kuondoa tatiz
Bw Mgange, ningelikushauri uende hospital, wakakuangalie, nafikiri tatizo lako kubwa liko kwenye uti wa mgongo hasa lamba-sacral area. kama uko dar nenda karibu na protea hotel kuna clinic inamaspecialist wa aina zote, piga simu 07196746616 au 0759674616
 
Mm nina tatizo kama hili linanisumbua sana karibu miaka m2 sasa msaada pia
 
Bw Mgange, ningelikushauri uende hospital, wakakuangalie, nafikiri tatizo lako kubwa liko kwenye uti wa mgongo hasa lamba-sacral area. kama uko dar nenda karibu na protea hotel kuna clinic inamaspecialist wa aina zote, piga simu 07196746616 au 0759674616
Bwana Tibaijuka, nna tatizo kama hili. nyayo zinauma nikisimama, hata nikiwa nimelala nyayo zinauma na kama kuwaka moto. Pia mgongo sehemu ya kiuno unaniuma . huwa nina tatizo la gout, sijui viko related!
 
Back
Top Bottom