Msaada nyimbo za caribean

Msaada nyimbo za caribean

Balozi Albert

Member
Joined
Mar 2, 2022
Posts
5
Reaction score
2
Kama kuna member anaweza nisaidia kupata nyimbo za soca rhumba calypso zilizovuma enzi za miaka ya 1980 naomba msaada
 
Kuna wimbo mmoja wauza kaseti waliandika i low my. Kuna kipindi mwimaji alikuwa anakolezea kwa maneno ya HEH HEH HEH. Mtaani tulikuwa tunaimba " Ilo mai nipe michuziii.
 
Back
Top Bottom