B Balozi Albert Member Joined Mar 2, 2022 Posts 5 Reaction score 2 Jul 21, 2024 #1 Kama kuna member anaweza nisaidia kupata nyimbo za soca rhumba calypso zilizovuma enzi za miaka ya 1980 naomba msaada
Kama kuna member anaweza nisaidia kupata nyimbo za soca rhumba calypso zilizovuma enzi za miaka ya 1980 naomba msaada
B Balozi Albert Member Joined Mar 2, 2022 Posts 5 Reaction score 2 Jul 21, 2024 Thread starter #2 Kuna wimbo mmoja wauza kaseti waliandika i low my. Kuna kipindi mwimaji alikuwa anakolezea kwa maneno ya HEH HEH HEH. Mtaani tulikuwa tunaimba " Ilo mai nipe michuziii.
Kuna wimbo mmoja wauza kaseti waliandika i low my. Kuna kipindi mwimaji alikuwa anakolezea kwa maneno ya HEH HEH HEH. Mtaani tulikuwa tunaimba " Ilo mai nipe michuziii.