Wadau poleni na majukumu.
Naomba msaada anayeweza kunisaidia kuweka hapa majina ya nyongeza ya waliochaguliwa kujiunga Grade A awamu ya pili nyongeza ya tarehe 08/10/2013. Nimeingia tovuti ya Wizara lakini nashindwa ku download kwa sababu natumia simu. Naomba anayeweza anaisaidie please and please...United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training