Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Fundi anayenijengea Nyumba Anaitwa Athumani ngoja nimfute Kazi.Wakijenga kampuni ya kueleweka ambayo mafundi walienda shule haitavuja kamwe/milele.Kuvuja ni kwa mafundi vishoka hawa akina fundi Athumani.