Msaada: Ofisi za kikuu mkoani Iringa zipo wapi?

Spartacus boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,727
Reaction score
3,464
Habari za kazi wakuu

Nilikuwa nauliza kwa mkoani Iringa kuna ofisi za KiKUU kwa ajili ya kuchukulia bidhaa zilizoagizwa mtandaoni

Ahsante.
 
Mpaka kufikia kuagiza huko mtandaoni lazima una information kuhusu namna utakavyopokea mzigo wako. Kutuuliza hapa ni kutaka either tujue umeagiza mzigo online au kuna watu unawalenga humu.....
Ungewauliza kikuu moja kwa moja.
 
Uko sahihi ila nilikuwa Mwanza nilipokuwa napokelea kipindi niko huko ila kwa sasa. Niko mkoani Iringa. Nimejaribu ku Google ofisi zao nimeona sioni ndio maana nikaona niombe msaada humu kwa great thinkers
 
OK pole mkuu.
Hakika nimeonekana kuwa harsh kwako....jaribu kuuliza customer care yao au ofisi zao za Mwanza kama wana ofisi Iringa. Goodluck.
 
Uko sahihi ila nilikuwa Mwanza nilipokuwa napokelea kipindi niko huko ila kwa sasa. Niko mkoani Iringa. Nimejaribu ku Google ofisi zao nimeona sioni ndio maana nikaona niombe msaada humu kwa great thinkers
OK pole mkuu.
Hakika nimeonekana kuwa harsh kwako....jaribu kuuliza customer care yao au ofisi zao za mwanza kama wana ofisi iringa. Goodluck.
 
Mara ya mwisho zilikua katika ofisi moja ya bima zinaangaliana na uwanja wa Mwembetogwa.
 
kaa kwa kutulia tu bro mzigo ukifika dar unapewa taarifa ,na hata ukija iringa yupo muhusika wa kikuu atakupigia mwenyewe kama ulijaza adress ya iringa usiwe na hofu mi niko sumbawanga hakuna ofisi ya kikuu ila mzigo ukifika tu jamaa ananipigia naufata
 
Back
Top Bottom