Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Zitakuwepo, subiri wataalamu waje, wakuelekeze mkuu.Habari za kazi wakuu
Nilikuwa nauliza kwa mkoani Iringa kuna ofisi za KiKUU kwa ajili ya kuchukulia bidhaa zilizoagizwa mtandaoni
Ahsante.
Uko sahihi ila nilikuwa Mwanza nilipokuwa napokelea kipindi niko huko ila kwa sasa. Niko mkoani Iringa. Nimejaribu ku Google ofisi zao nimeona sioni ndio maana nikaona niombe msaada humu kwa great thinkersMpaka kufikia kuagiza huko mtandaoni lazima una information kuhusu namna utakavyopokea mzigo wako. Kutuuliza hapa ni kutaka either tujue umeagiza mzigo online au kuna watu unawalenga humu.....
Ungewauliza kikuu moja kwa moja.
OK pole mkuu.Uko sahihi ila nilikuwa Mwanza nilipokuwa napokelea kipindi niko huko ila kwa sasa. Niko mkoani Iringa. Nimejaribu ku Google ofisi zao nimeona sioni ndio maana nikaona niombe msaada humu kwa great thinkers

Ahsante mkuu.OK pole mkuu.
Hakika nimeonekana kuwa harsh kwako....jaribu kuuliza customer care yao au ofisi zao za mwanza kama wana ofisi iringa. Goodluck.