Habari zenu wana jf naomba msaada kujuzwa makampuni yanayojihusisha na oil and gas plus minerals exploration yanayofanya kazi tanzania,heshima mbele ndugu zangu
tpdc ndo nin kirefu chake ingekuwa vizuri kama ungenisaidia hiyo web yao mkuuingia website ya tpdc kuna kila kitu!
tpdc ndo nin kirefu chake ingekuwa vizuri kama ungenisaidia hiyo web yao mkuu
thanks kwa msaada ndugu ngoja ni googleTPDC - Tanzania Petroleum Development Corporation. Si unge google tu ingekuja ungeona acha uvivu mkuu umesomea nje ya nchi nini? Maana huko digitali ilianza zamani kila kitu shida kujisumbua