msaada oil gas mineral exploration campanies in tz

vunga g

Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
83
Reaction score
38
Habari zenu wana jf naomba msaada kujuzwa makampuni yanayojihusisha na oil and gas plus minerals exploration yanayofanya kazi tanzania,heshima mbele ndugu zangu
 
ingia website ya tpdc kuna kila kitu!
 
tpdc ndo nin kirefu chake ingekuwa vizuri kama ungenisaidia hiyo web yao mkuu

TPDC - Tanzania Petroleum Development Corporation. Si unge google tu ingekuja ungeona acha uvivu mkuu umesomea nje ya nchi nini? Maana huko digitali ilianza zamani kila kitu shida kujisumbua
 
thanks kwa msaada ndugu ngoja ni google
 
Petrobas,BG,Schlumberger,Halliburton,na zingine nyingi sana!
 
Back
Top Bottom