Msaada: Oil nzuri kwa pikipiki

Tumia oil namba 50 yaani 20w50 kama mogas, total na zinginezo ndio oil inayotakiwa kutumiwa na hiyo pikipiki. Achana na oil namba 40 kama oryx ya kopo. Badilisha baada ya 1200km.
Nashukuru kwa ushauri wako kesho mapema nitachange, hapa nilishakanyaga kilometer 2800, mmeniokoa sana maana ningetembea kilometer 5000. Kweli jf ni msaada mkubwa
 
Nashukuru kwa ushauri wako kesho mapema nitachange, hapa nilishakanyaga kilometer 2800, mmeniokoa sana maana ningetembea kilometer 5000. Kweli jf ni msaada mkubwa
Hiyo oil utaiona ukiimwaga lazima itakuwa imechoka sana. Hizi mashine ukizijali oil kwa wakati utadumu nazo sana ila ukizembea kidogo tu majanga.
 
Tumia oil namba 50 yaani 20w50 kama mogas, total na zinginezo ndio oil inayotakiwa kutumiwa na hiyo pikipiki. Achana na oil namba 40 kama oryx ya kopo. Badilisha baada ya 1200km.
Chukuwa ushauri huu hapa.

Mie nilikuuliza kuhusu taarifa za chombo chako ili nielewe jinsi ya kukusaidia. Tatizo la hizo honda mnazotumia huwa haziko katika hali nzuri ya kitekinolojia ata ziwe ndio kwanza umenunuwa. Utakuta mtu anatumia iyo oil ya total 20W50 lkn bado hapati pafomensi nzuri.

Chamsingi hapa fanya service kwa kutumia hii total 20W50 kila baada ya siku 10 usiangalie saana hizi habari za kilometers kama 5000L
 
Ili honda yako isikusumbuwe pendelea kutumia pure oil (virgin based oil) sio hizi (recycled oil). Kwa mfano hii ya mogas ni virgin based oil lkn kwa kutokana na technology yao wanayotumia kutengenezea inakuwa inashindwa na hizi recycled oil kama kina total, caltex, etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…