mr. loner
Senior Member
- Aug 1, 2014
- 168
- 229
- Thread starter
- #21
Nashukuru kwa ushauri wako kesho mapema nitachange, hapa nilishakanyaga kilometer 2800, mmeniokoa sana maana ningetembea kilometer 5000. Kweli jf ni msaada mkubwaTumia oil namba 50 yaani 20w50 kama mogas, total na zinginezo ndio oil inayotakiwa kutumiwa na hiyo pikipiki. Achana na oil namba 40 kama oryx ya kopo. Badilisha baada ya 1200km.