gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 668
- 898
kacheki uchomaji wa mafta au kaifanyie diagnosis mkuu huenda oxygen sensor imekufa.Wakuu passo yangu ni four wheel drive tangu last month imekuwa na nguvu ndogo, yaani unakanyaga mafuta bado inakuwa inatembea polepole sana. Mlimani ndio kabisaa inataka hata kusimama. Kama kuna mafundi humu au wazoefu nisaidieni jamani tatizo litakuwa ni nini?
Eti fika hospitali yake chap[emoji28] [emoji28]Ni issue ya plag tu....fika hospital yake chap.
ndio mkuuHuenda Diff imekufa. Je, hali huwa hivyo hivyo hata ukipakia abiria kwenye siti ya kushoto?
Vipi kuhusu bearings, hazivumi? Kama zinavuma pia huenda ikawa ni moja ya sababu. Hakikisha pia umesafisha air filter. Otherwise kuna valves kwenye engine zitakuwa zimeziba.ndio mkuu
Ha ha kweli una experience na hivyo vigari...kacheki uchomaji wa mafta au kaifanyie diagnosis mkuu huenda oxygen sensor imekufa.
Service ya passo ni ghali na hivi vigari vina vipuri ghali sana na engine zake za ovyo nashangaa suzuki carry na engine ndogo ya cc660 na three pistons kinabeba mzigo na kinapiga kazi bila shida lakini passo yenye engine ndo ni cc990 lakini ovyo kabisa niliknunuaga cha piston tatu kwanza engine ina vibrate ukiwa umesimama mpaka bodi unaskia ina vibration halafu hakina nguvu unakanyaga mafta kwa gafla kinasubiri sekunde kadhaa ndo kinaongeza mwendo vigari vya ovyo kweli...
Mkuu nina experience nacho ni vigari vya ovyo sana service zake kwanza ghali bushes zake ghali yani vipuri vyake ghali na bado havina nguvu halafu sijui mafundi hawavijulii kikianza kugonga gonga kwenye miguu utazunguka kwa mafundi wote utabadirhsa bush ila hakitaacha kugonga upitapo kwenye makorongo.Ha ha kweli una experience na hivyo vigari...