Msaada Passo yangu haina nguvu kabisa tatizo ni nini?

Kati ya gari zilizonitesa mojawapo ni hii aiseh nakumbuka nililunua vits ya 2005 mpya kutoka japan ikiwa na engine cc 990 IKR nilipoanza kuitumia kila mtu alinikatisha tamaa kwa sababu ya piston tatu! Niliuza kwa hasara sana nimeamua nijichange ninunua IST ila ya cc 1490 note usinunue gari chini ya cc 1280 imekula kwako
 
Badilisha spark plugs. Itarejea ktk hali yake ya awali
 
Mkuu jichange ukanunue gari,hizi bajaj qute,bajaj passo ugonjwa wa moyo tu,narudia tena jichange nunua gari.
 
Ulivyokinanga hicho kigari, kama angekuwa mtoto angekufa!
 
Ulivyokinanga hicho kigari, kama angekuwa mtoto angekufa!
Hahahaha mkuu ni ukweli kabisa sema kizuri kwa kula misele ya twn kama huna haraka na unaenjoy kuliko aliyeko kwenye bodaboda, bajaj au dalala na ac juu ukiwasha ac unaskia kabisa ina consume nguvu ya engine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…