Jay wa Jay
Member
- Feb 4, 2013
- 71
- 64
Mi niliunguza simu ya galaxy infuseHiyo itakuwa imejishort, mi yangu nilikua nachomoa waya wa buffer ikajishort system ya sauti hadi leo ni hp pia
duh, hii ya kwangu haiwaki kabisaHiyo itakuwa imejishort, mi yangu nilikua nachomoa waya wa buffer ikajishort system ya sauti hadi leo ni hp pia
ahsante... ulijaribu kuipeleka kwa fundi?Ishaugua hiyo mm ilikua hivo hivo Pole Sana
Ndiyoahsante... ulijaribu kuipeleka kwa fundi?
Mkuu fafanua vizuri hapo, maana ya kwangu pia imezima ghafla nilipokuwa nachomeka power cable, ina week sasa haitaki kuwaka.Tatizo sio kubwa sana inabidi umuone fundi,power supply itakuwa ime cut power to prevent damage.
Zima laptop.
toa power cable.
toa battery.
bofya power button for 45 sec.
rudisha power cable.
rudisha battery
turn on your laptop.
Mi yangu pia, dogo kavizia sipo kabeba PC kaunga na Woofer ale mziki. Ikakata sauti mazima mpaka leo.Hiyo itakuwa imejishort, mi yangu nilikua nachomoa waya wa buffer ikajishort system ya sauti hadi leo ni hp pia