Jay wa Jay
Member
- Feb 4, 2013
- 71
- 64
Kama kichwa kinavyojieleza wadau. Nimechomeka waya wa Sub-Woofer ambayo ilikuwa imewaka (2 in 1) kwenye pc aina ya hp, ghafla ikazima... na haijawaka tena hadi hivi sasa.
Nimejaribu kutoa betri na kuiwasha ikiwa imechomekwa moja kwa moja kwenye chaja, taa ya chaja inawaka, lakini pc haiwaki hata kidogo.
Msaada tafadhali.
Nimejaribu kutoa betri na kuiwasha ikiwa imechomekwa moja kwa moja kwenye chaja, taa ya chaja inawaka, lakini pc haiwaki hata kidogo.
Msaada tafadhali.