luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kwa maana adapter yake inashida au sijakupata vyema mtalaamPengine cable zime-loose mkuu,!
mkuu.namaanisha cable zinazopeleka data kwenye kioo,huenda zimelegea!Kwa maana adapter yake inashida au sijakupata vyema mtalaam
Okaymkuu.namaanisha cable zinazopeleka data kwenye kioo,huenda zimelegea!
Kama alivyosema mdau possibility kubwa ni connection kwenda kwenye kioo, kunakuwa na rangi tatu (rgb) nyekundu, kijani na blue, ukiona hio pink (magenta) ujue kijani haifanyi kazi, blue na nyekundu zikikutana huleta hio rangi.Okay