Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief nilikutumia PM sijui kama umeiona...Huwa troubleshoot rahisi ni kutafuta waya WA vga na monitor Kisha kujaribu kuangalia kama ita display kwenye monitor ya nje, ikidisplay ujue ni tatizo LA display la laptop, is ipo display ni tatizo jengine.
Nimeiona mkuu, nilipitiwa tu.Chief nilikutumia PM sijui kama umeiona...
Yaani pm aliyomtumia chifu aitume na hapa kwenye uzi? Nini maana ya pm?Tuma na hapa mkuu
Let me know ukipata mda mana nimehangaika mpaka nimechokaNimeiona mkuu, nilipitiwa tu.
Samahani mkuu, haihusiani na ili suala, kwa tatizo lako fuata maelekezo alotoa Chief kisha mrudieTuma na hapa mkuu
Issue simple tu bwa shee..!! Kwanza iwashe then angalia CAPS LOCK kwenye keyboard yako hapo ibonyeze, inawaka na kuzima ukibonyeze? If haiwaki hiyo machine itakuwa na tatizo kuwa haimalizi kuwaka ila ibakuongopea kuwaka hivo shida kama ni hiyo itabidi umuonw fundi tu cos hiyo changamoto ni kubwa hasa kwa hizo HP generation ya 8 core i5.Wakuuu habari zenu pc yangu aina ya hp haidisplay lkn kitufe cha kuwashiwa imewaka.
View attachment 1770175
Mkuu upo active mkuuHuwa troubleshoot rahisi ni kutafuta waya WA vga na monitor Kisha kujaribu kuangalia kama ita display kwenye monitor ya nje, ikidisplay ujue ni tatizo LA display la laptop, is ipo display ni tatizo jengine.