Msaada pc yangu haidisplay lakini kwenye kitufe cha kuwashia imewaka

Msaada pc yangu haidisplay lakini kwenye kitufe cha kuwashia imewaka

Nina computer yangu hp i3 core power suplie imekufa nikanunua nyingine used ila imewaka ila sasa inawasha tatizo inazunguka high speed kama ime overload muda wote hapa tatizo nini inavuma muda wote
Kuna uwezekano mb ina tatizo na haiwezi control speed.

Jaribu kudownload software za kucontrol fan kuna baadhi ya machine inaweza saidia
 
Nina tatizo kama hilo. Nina HP 630. Sijui shida ni display, motherboard or hard disk ..
Msaada pls
 
Hard disk imekorapti au window imekorapti nunua hard disk nyingine Kama huna ela tafta hard disk case copy vitu vyako kwenye PC nyingine alafu format hiyo hard disk Kwa ku command
 
Chief-Mkwawa

Nina laptop y dell haiingizi umeme.
Chaja ipo safi na inaleta moto kwenye PC nyingine.

Nahisi upande wa Laptop wa kuingizia Charge una tatizo. Je ile system ya kucharge inaweza kubadilishika au kutengenezeka
 
Ndio Hakuna kisichobadilishika, umejaribu kutoa battery na ku chomeka cable bila battery?
 
Back
Top Bottom