Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kuna uwezekano mb ina tatizo na haiwezi control speed.Nina computer yangu hp i3 core power suplie imekufa nikanunua nyingine used ila imewaka ila sasa inawasha tatizo inazunguka high speed kama ime overload muda wote hapa tatizo nini inavuma muda wote
Ndio Hakuna kisichobadilishika, umejaribu kutoa battery na ku chomeka cable bila battery?Chief-Mkwawa
Nina laptop y dell haiingizi umeme.
Chaja ipo safi na inaleta moto kwenye PC nyingine.
Nahisi upande wa Laptop wa kuingizia Charge una tatizo. Je ile system ya kucharge inaweza kubadilishika au kutengenezeka
Nimejaribu hakuna umeme unaoingia.Ndio Hakuna kisichobadilishika, umejaribu kutoa battery na ku chomeka cable bila battery?
Hapo sasa utahitaji vifaa vya kitaalam kupimiaNimejaribu hakuna umeme unaoingia.
Siku kama mbili umeme ulikua unaingia na kukata.
Sasa ndio hauingii kabisa
SawaHapo sasa utahitaji vifaa vya kitaalam kupimia