MSAADA: PC yangu HP PROBOOK 635 AERO G7 imezima

MSAADA: PC yangu HP PROBOOK 635 AERO G7 imezima

Unstate Bug

Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
82
Reaction score
88
Habari za majukumu wanaJF,
Kama title isemavyo, PC angu imezima leo na imeanza kwa
HP_1.jpg
kujiandika maneno hayo kama inavoonekana kwa picha then maandishi mekundu ambayo haikuchukua muda ikazima a haiwaki tena. But taa ya POWER na kitufe cha CAPS LOCK nacho kinawaka uki press Powe button.
Naomba msaada wa kiufundi tafadhali.
HP_1.jpg
 
Habari za majukumu wanaJF,
Kama title isemavyo, PC angu imezima leo na imeanza kwaView attachment 3188655 kujiandika maneno hayo kama inavoonekana kwa picha then maandishi mekundu ambayo haikuchukua muda ikazima a haiwaki tena. But taa ya POWER na kitufe cha CAPS LOCK nacho kinawaka uki press Powe button.
Naomba msaada wa kiufundi tafadhali.View attachment 3188655
hapo mchawi BIOS hatua ya kwanza ni ku restore BIOS kama ikifeli ndio unaenda hatua ya pill... hiyo inahusu hardware
 
Back
Top Bottom