MSAADA: PC yangu HP PROBOOK 635 AERO G7 imezima

Unstate Bug

Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
82
Reaction score
88
Habari za majukumu wanaJF,
Kama title isemavyo, PC angu imezima leo na imeanza kwa kujiandika maneno hayo kama inavoonekana kwa picha then maandishi mekundu ambayo haikuchukua muda ikazima a haiwaki tena. But taa ya POWER na kitufe cha CAPS LOCK nacho kinawaka uki press Powe button.
Naomba msaada wa kiufundi tafadhali.
 
hapo mchawi BIOS hatua ya kwanza ni ku restore BIOS kama ikifeli ndio unaenda hatua ya pill... hiyo inahusu hardware
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…