XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Habari wakuu
Pc yangu aina ya Lenovo imekumbwa na virus hali inayo sababisha kuwa nzito, movie ku-scratch, kujitype yenyewe mfano kwenye search bar yani mambo ni mengi mno.
Nimejaribu mara kadhaa kuipiga window lakini sijapata mafanikio yoyote bado hali ipo vilevile naombeni msaada wenu nifanye nini niondokane na tatizo hili.
Nguvu moja 🦁