Mgoda simtwange
Senior Member
- Sep 7, 2012
- 168
- 64
Habari zenuwana JF. naomba ushauri wa hili jambo
Nilifungua biashara stationary ndogo tu mwaka 2013. Halafu mwaka 2014 kutokana na biashara kutokuwa nzuri nikaifunga. kwa kutokujua kuwa biashara ikifungwa inabidi kuwataarifu TRA, mimi Sikuwajulisha TRA kuwa stationary nimeifunga. kodi ya mapato nilikuwa nalipa sh 200,000 (laki 2 kwa mwaka). Tangu nifunge hadi sasa August 2017 miezi 32 imepita nilikuwa sijalipa deni la kodi ya mapato. Leo nimekwenda TRA nataka kufungua biashara nyingine naambiwa nina deni la nyuma la stationary. Kupigiwa hesabu naambiwa natakiwa nilipe sh 1,800,000 (million 1 na laki 8) yaani kodi ya mapato na penalty. Kulipa sio tatizo naweza kulipa. Ila hofu yangu ni kwamba inawezekana kwa muda huo kodi ya mapato na penalt ziwe kubwa kiasi hicho? Naomba msaada wenu kwa nyie wazoefu wa haya mambo ya TRA.