Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa mwamposaHabari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu😭.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu😭😭.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
Mbona sasa unazungumzia issue ya kuolewa,huku tayari una mtoto???Nina mtoto mkuu
Pole, kumbe hedhi inawapelekesha hvyo km mapepo aiseeHabari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu[emoji24].
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu[emoji24][emoji24].
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
Njoo PM tushauriane.. utapona kabisaHapana
Period za hawa shoga zako zinaambatanaga na majini visirani ila yako wewe mummy huambatana na malaika watakatifu embu wape pole yao tuHii mpya kwangu
Pole sana. Mm ndo kwanz nalijua hili kwako mana nisikiaga mwanamke akiwa mjamzito hubadirik.Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu[emoji24].
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu[emoji24][emoji24].
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
[emoji3] wew jamaa wew wa single MotherMbona sasa unazungumzia issue ya kuolewa,huku tayari una mtoto???
Mbavu zangu😄tushauriane
Mbavu zangu😄
ushauri wa kitaalamu hautolewi public 😅😅Naomba uongelee hapa
Sister fuata pm hzo ukapate uponyaji na utakaso hahahaa laiti ungelijua hão ni watumishi usingewatolea njeNaomba uongelee hapa