Msaada: Period (hedhi) inanitesa

Nenda kwa mwamposa
 
Pole, kumbe hedhi inawapelekesha hvyo km mapepo aisee
 
Pole sana. Mm ndo kwanz nalijua hili kwako mana nisikiaga mwanamke akiwa mjamzito hubadirik.
 
Pole sana Georgyna haupo peke yako, mwenzio mpaka nilikuwa naweza vunja mahusiano na mtu niliye naye lakini hiyo huwa ni nikiwa nimekaribia MP zile siku chache kabla, hasira zikiisha sioni hata kosa la ku-break up ni nini..!!

Na kuna wakati nakuwa very depressed mpaka natamani hata kufa, mpaka nije kukumbuka nimekaribia MP unakuta nimeshateseka na stress ambazo hazina kichwa wala miguu vya kutosha..!!

Hivyo sahii nimejifunza nikiwa na mood mbovu bila sababu na hasira za ajabu naanza kutazama calendar yangu haraka then I take control of it..! Pole sana mwaya, ukiona tu hujielewi kabla hujatenda lolote la kujutia baadaye katazame calendar yako chap, kisha utaweza kui control situation..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…