AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
[emoji3]Jiongezee MkuuMbona sasa unazungumzia issue ya kuolewa,huku tayari una mtoto???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3]Jiongezee MkuuMbona sasa unazungumzia issue ya kuolewa,huku tayari una mtoto???
AsanteDah, pole sana, hadi huruma!!
Ina maana ni kweli kwa mujibu wa ufahamu wako kuwa na mtoto maana yake ni kuwa na mume au kuwa na mke? Kwani wanaume wangapi wana watoto lakini hawajaoa? Kama ni hivyo kwa mwanaume unashangaa nini ikiwa hivyo kwa mwanawake?Mbona sasa unazungumzia issue ya kuolewa,huku tayari una mtoto???
Duh!! siku za joto tena!! Dawa ya siku za joto mbona ni rahisi sana!! kumbatio (toka kwa baby wako) moja tu la dk 2 huku wote mkiwa kimyaaaa!! speechless!! baada ya dk hizo mbili mnatazamana usoni kwa dk 1 kimyaa!! hasira zote zinayeyuka!! Angalizo: Kinga iwepo karibu kama ikitokea/just in case!! hizo ni siku za hatariiii!! si unajua joto tena, hapo mwili uko tayari kabisa kuanzisha maisha ya kiumbe kipya!!Tupo wengi, mi hata siku za joto nakuwa hivyo hasira kisirani mpaka nifokee mtu au nilie ndo natulia, ni kujitahidi tu kuzuia hiyo hali hadi kichwa kuuma na homa hutokea baadhi ya vipindi, sielewi hasira huwa zinatokeaga wapi!!!
Pole sana,nina mabinti zangu wanapitia humo humo,huwa wanaweza nijibisha tofauti wakiwa kwenye hali hiyo,huwa nawaelewa.Nakuwa mpole.Hapa nina homa,kichwa kinauma,kichefuchefu ni mawenge tu.
Ntajitahidi
Hilo nalo neno!!!Hiyo ni human nature ingawa kuna nyakati akina dada / mama mnaongeza chumvi kwakuwa Tyr mnakuwa mnajua fika kwamba ikifika nyakati za hedhi miili na mood yenu inakuwa tofauti.
Badala ya kufanya namna yyt kujikontro ,mnaharibu halafu mnaanza kujutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Zikipanda vizuri hata hizo shughuli za kufanya hazifanyiki,, tunaishi tu kigumuDuh!! siku za joto tena!! Dawa ya siku za joto mbona ni rahisi sana!! kumbatio (toka kwa baby wako) moja tu la dk 2 huku wote mkiwa kimyaaaa!! speechless!! baada ya dk hizo mbili mnatazamana usoni kwa dk 1 kimyaa!! hasira zote zinayeyuka!! Angalizo: Kinga iwepo karibu kama ikitokea/just in case!! hizo ni siku za hatariiii!! si unajua joto tena, hapo mwili uko tayari kabisa kuanzisha maisha ya kiumbe kipya!!
Ila ni pole sana kama kipindi hicho kikakukuta huna "baby"!! na huwa unajisikia hasira kipindi hicho cha joto, hapo zinakuwa maradufu!!. Suluhisho hapo ni kuji-keep busy, buni shughuli nyingi za kufanya, waza mipango yako ya maendeleo. Jitahidi kutokujichanganya na "me" katika mazingira tatanishi vinginevyo unaweza kufanya jambo ambalo hukulitarajia na baadaye ikawa majuto ni mjukuu!!