Msaada Pharmacy

Msaada Pharmacy

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
3,955
Reaction score
2,133
Wakuu poleni na majukumu.

Jana nilikuwa Muhimbili Hospital na kati ya dawa nilizoandikiwa ni BACLOFEN ambay niliambiwa inapatikana Kariakoo kwenye Pharmacy kubwa. Bahati mbaya sikufanikiwa kuzipata licha ya kupita kwenye maduka makubwa kama viloe J.D Pharmacy na kwingineko.

Naomba msaada anayejua wapi naweza kupata dawa hizi. Ikiwa wanatumia NHIF itakuwa vizuri zaidi

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Back
Top Bottom