Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Wakuu nilifungua ka stationery kadogo nikamuacha binti, photocopy machine ni canon iR2016 I.
Ilikua inapiga kazi vizuri tu nikiiconnect kwenye desktop, sasa binti amenipigia simu kwamba, imezingua desktop inashindwa kuisoma photocopy machine.
Nimeenda nimejaribu kila njia ku-install drivers mpya naona bado inazingua tu, shida inaweza kua ni nini wananzengo?
Shukrani.