- Thread starter
-
- #21
Nitashukuru sana japo nataka kwenda hospitali kabisa ila hata ukiandika hizo dawa itakuwa bora kwasababu zina weza kunisaidia kwa uelewa zaidi wa magonjwalegacy15 Kuna magonjwa ya zinaa ambayo huwa inafanya uume unakuwa na uvimbe aidha kwa ndani au kwa nje, mara nyingi kwa nje vinakuwa kama vipele ambavyo vinatoa maji yani vimejaa maji inavitumbua au likichwa linavimba, kuna antibiotic kadhaa nitakuandikia utumie kwa ajili ya magonjwa ya zinaa tuone kama vitapotea, ila sasa huyo mchumba wako na yeye atumie dozi kama wewe ili mpone wote ila sasa msifanye kwanza mapenzi hadi mtakapo pona au nenda ukapima magonjwa ya zinaa to be more spectific ili wakuandikie au nitakuandikia dawa baada ya kujua ni nini haswa kwa undani zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app