Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

legacy15 Kuna magonjwa ya zinaa ambayo huwa inafanya uume unakuwa na uvimbe aidha kwa ndani au kwa nje, mara nyingi kwa nje vinakuwa kama vipele ambavyo vinatoa maji yani vimejaa maji inavitumbua au likichwa linavimba, kuna antibiotic kadhaa nitakuandikia utumie kwa ajili ya magonjwa ya zinaa tuone kama vitapotea, ila sasa huyo mchumba wako na yeye atumie dozi kama wewe ili mpone wote ila sasa msifanye kwanza mapenzi hadi mtakapo pona au nenda ukapima magonjwa ya zinaa to be more spectific ili wakuandikie au nitakuandikia dawa baada ya kujua ni nini haswa kwa undani zaidi.
Nitashukuru sana japo nataka kwenda hospitali kabisa ila hata ukiandika hizo dawa itakuwa bora kwasababu zina weza kunisaidia kwa uelewa zaidi wa magonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapo bado mpaka utakapo achana na wake za watu

If you work for living then why do you kill yourself working?
 
Mkuu kwa case hyo ni rahisi sana kuambukiza au kuambukizwa magonjwa ya zinaaa. Naomba kufaham if umegundua huyo mpenzi ndiyo tatizo why unamng'ang'ania.. Why usitumie kinga?
 
Mkuu kwa case hyo ni rahisi sana kuambukiza au kuambukizwa magonjwa ya zinaaa. Naomba kufaham if umegundua huyo mpenzi ndiyo tatizo why unamng'ang'ania.. Why usitumie kinga?
Shida huwa nikienda hospitali wanasema sio tatizo baada ya kupima kila kitu ila shida tatizo haliishi ila sasa itanibidi nianze kutumia kinga zidi yake mpaka nitakapo hakikisha tatizo lime kwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana mkuu ila mbona unaweka picha za utupu mtandaoni, ngoja wakuone tcra ukakae central kidogo
 
Nimetoka kupima mkojo vipo vimeonesha kama hivi kwenye picha china japo huyu daktari kasema nije kesho kuonana na ddaktari mwingine ambaye anaweza kunisaidia kwenye hilo tatizo
IMG_20190106_194920_7.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jumapili wanajamii

Nina mwaka sasa toka nimeona hivyo viuvimbe kwenye mrija wa mkojo nimeende hospitali kama mbili wote na kufanya vipimo kutokana na ushauri wa daktari wamesema sio tatizo ila mimi bado na wasiwasi kuwa huweza likawa tatizo.

Japo sipati maumivu yoyote au kutoka kitu chochote kile ila niki gusa hivyo vinyama huwa vinatoa damu

Pia nime jaribu kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuwa tatizo lilianza toka nipo na mpenzi wangu moja hivi ambaye nipo naye kwenye mausiano mwanzo nimewahi kupata muwasho kwenye mrija ila nilienda hospitali wakasema ni UTI ila nilipo pona UTI bado hivyo vinyama vipo baada ya hapo ndo nilijua kujua kuna vinyama vimetokea

Pia nimegundua baada ya kufanya mapenzi na huyo huyo mpenzi wangu nimekuwa na pata tena muwasho kwenye mrija kwa siku kaza ila unaacha tena japo sio mara kwa mara inatokea

Kama juzi nimefanya naye mapenzi nimepata muwasho pia nimeona kama tatizo limeongeza kuliko nilivyo angalia mara ya mwisho

Pia niki kaa muda mrefu bila kufanya naye mapenzi naona hivyo vinyama vinapungua kutoka ila haviishi vyote

Naombe msaada kujua tatizo linaweza kuwa nini pia samahani naomba kuambatishia na picha View attachment 987513

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa wahenga walisema "mficha uchi Azai"lakini sio kwamba ndio yatupasa kuonyesha nyuchii zetu kila mahali.Tafadhali kama hautojari edit uzi wako kwa kuondoa hii picha uliyoweka.

Nikirudi katika case yako kutokana na maelezo yako kuna uwezekano mkubwa ukawa na STI(Sexually transmitted Infection) maambukizi ambayo hamjayatibia kikamilifu wewe na mwenza wako hivo ni bora uendapo hospitali uongozane na mwenza wako ili wote mkatibiwe kwa pamoja.
 
Genital Warts huwa hazipo hivyo mkuu, genital warts hazikai km anavyoonesha mkuu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Genital warts kwa mwanaume zipo kuanzia ndani ya urethra, kwenye glans penis (Usichanganye na pearly penile papules) na mpaka kwenye shaft.
So medicine haipo kama unavyodhani kitu kinapresent kiaina moja.
Same disease with different local and even systemic manifestations.
 
Penile papules nazijua vilivyo, hazitoi majimaji wala damu, huo ugonjwa wa zinaa akapime magonjwa ya zinaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jumapili wanajamii

Nina mwaka sasa toka nimeona hivyo viuvimbe kwenye mrija wa mkojo nimeende hospitali kama mbili wote na kufanya vipimo kutokana na ushauri wa daktari wamesema sio tatizo ila mimi bado na wasiwasi kuwa huweza likawa tatizo.

Japo sipati maumivu yoyote au kutoka kitu chochote kile ila niki gusa hivyo vinyama huwa vinatoa damu

Pia nime jaribu kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuwa tatizo lilianza toka nipo na mpenzi wangu moja hivi ambaye nipo naye kwenye mausiano mwanzo nimewahi kupata muwasho kwenye mrija ila nilienda hospitali wakasema ni UTI ila nilipo pona UTI bado hivyo vinyama vipo baada ya hapo ndo nilijua kujua kuna vinyama vimetokea

Pia nimegundua baada ya kufanya mapenzi na huyo huyo mpenzi wangu nimekuwa na pata tena muwasho kwenye mrija kwa siku kaza ila unaacha tena japo sio mara kwa mara inatokea

Kama juzi nimefanya naye mapenzi nimepata muwasho pia nimeona kama tatizo limeongeza kuliko nilivyo angalia mara ya mwisho

Pia niki kaa muda mrefu bila kufanya naye mapenzi naona hivyo vinyama vinapungua kutoka ila haviishi vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kwanza
Mkuu demu wako hana shia kabisa, usimuwazie vibaya.

Hivo unacho kiona kimetokea hapo, kupata nafuu na kuacha kukusumbua unatakiwa usifanye ngono kwa kama mwaka mmoja hivi utakusaidia sana kupona na pia kanunue dawa ya kukausha kidonda umeze

Kufanya mapenz kutakuchelewesha kupona.

Kwani uke wa mwanamke ni asidic in nature,

Pia mwanamke anaweza kuwa na UTI, ambayo yeye haimpi shida kabisa ila kwa wew ambae uko hivo inaweza kukuletea madhara makubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jibu zuri nilimpa jana.
Kaonane na urologist. Hata hawa dermatovenerologist.
Huko atampa maelezo yote ya ugonjwa na matibabu yake.
 
Back
Top Bottom