afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
Wadau hizi aina za pikipiki kama tujuavyo sio nyingi kama ilivo boxer na tvs ma watu hutumiabsana binafsi...
E hapa mjini Dar bei zake zipoje na zapatikana wapi....maana nyinhgi town ni zile zile Haoujue, Hero boxer tvs fekon...ila hizi maheera sijawahi ona zikiuzwa..naona tu zinaemdeshwa..
Wapi zinapatikana na bei zake zikoje?