Msaada please header files source code sizielewi

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari wadau hope mpo poa

Niende kwenye mada sisi wengine kuclaim mambo ni mwiko tunataka kujua programming very in deep

Sasa km ww ni programmer hope umewah kutumia preprocessors like stdio.H conio.H math.H iostream nk hizo ni preprocessor ambazo zinadefine in built in functions like printf scanf getchar nk

Sasa hzo pre procesaor zina source code zake means ziliandikwa before ili kufanya programming iwe easy na fupi na inayosomeka sasa nikaona isiwe kesi ngoja nizame umo kwenye preprocessor source code huko hadi sasa nimetoka kapa nipo zero

Uko nimegundua kuna vitu km library macros condition compilation nk yaani kila nikisoma izo code sielewi

Naweka link watu muone tusaidiane


https://code.Woboq.Org/qt5/include/math.H.Html
 
Jaribu C na C++ hapo unaweza pata maarifa mengine.
Ukiweza utatungua sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…