Msaada please: Incomplete placenta previa

Msaada please: Incomplete placenta previa

Nyrum

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
124
Reaction score
41
Habari zenu wapendwa.

Nina tatizo nahitaji msaada wa ushauri na ufafanuzi.

Nina ujauzto wa wikin35. But nilipofikisha wiki 20 nilianza kupata vaginal bleeding, nilipoenda hospital nilifanyiwa ultral sound nikaambiwa nina hilo tatizo linaloitwa placenta previa.

Damu imetoka mabonge makubwa mpaka wiki ya 33 ndo imekata., muda wote huo nipo bedrest ya home.

Sasa jana gafla nimeanza kupata maumivu makali kama uchungu, but now sijambo.

Sasa naomba kuuliza jamani je, ni kweli ukiwa na hli tatizo lazima ujifungue kwa kisu?

Pia, je kwakuwa damu imekata inawezekana placenta ikarudi mahala pake?, je, usalama utakuwepo kwa mtoto nitakaezaa? Yani naombeni ushauri na maelekezo kwa anaejua.

Pia kama nitapata hospital au Dr bingwa wa tatizo hili ambae atanizalisha.

Please help.
 
Pole sister, natumaini Mungu amekuwezesha na umejifungua salama.
 
Back
Top Bottom