Wanajamvi naombeni msaada mke wangu ananyonyesha (ana mtoto mdogo) katika cheza cheza yetu alikosea kuhesabu siku zake leo ni siku ya 5, bilabila hajaona siku zake ikabidi niingie dukani kununua urine test baada ya kupima ana ujauzito sasa na yule mtoto..
Itakuwa balaaa naombeni ushauri ila plan yetu ni kutoa hiyo mimba bt njia ya kutoa hatufahamu msaada plse

We unaogopa macho na maneno ya wanadamu yeye aliyekupa uhai humwogopi,kwa nini ukatishe maisha ya kiumbe kisicho na hatia kwa kuogopa watu na upatapo tatizo hao hao wa kwanza kukucheka.