Bonlove
Member
- Feb 2, 2012
- 45
- 5
Wanajamvi naombeni msaada mke wangu ananyonyesha (ana mtoto mdogo) katika cheza cheza yetu alikosea kuhesabu siku zake leo ni siku ya 5, bilabila hajaona siku zake ikabidi niingie dukani kununua urine test baada ya kupima ana ujauzito sasa na yule mtoto..
Itakuwa balaaa naombeni ushauri ila plan yetu ni kutoa hiyo mimba bt njia ya kutoa hatufahamu msaada plse
Itakuwa balaaa naombeni ushauri ila plan yetu ni kutoa hiyo mimba bt njia ya kutoa hatufahamu msaada plse