Muwahishe hospitali vinginevyo asahau ku-conceive. Pia inawezekana amevamiwa na pepo mbaya hataki uendelee naye, mshauri aende akaombewe kwa watumishi wa Bwana. Ila usiendeleze uasherati naye tena kwani si mkeo!
Kawaida hayo ni madhara ya kutumia vidonge vya uzazi ,ndio baada ya muda kufunga sana kutoingi mimba baada ya muda husababisha kansa kwenys uke na kusababisha damu kutoka hiyo imemtkkea jiran kaenda kupima anamiaka 29 na mtoto mmoja
Kila mtu anakushauri umuwahishe hospitali weww umeng'ang'ana tu humu asante mkuu asante mkuu! Asante mkuu itazuia damu ya huyo binti? Watu wengine bwana