x,y na z walkua wanamhisi mr wasiwasi kuwa ni mwizi...wakapanga wamfix mr wasiwasi sasa siku moja wakamshika wasiwasi sehem amabayo ni isolated...X akatoa suggestion wamuue mr wasiwasi,Y yeye akatoa suggestion kuwa wamtoe wasiwasi macho ili asiweze kuona vitu aibe tena,na Z akasuggest wamchape tu na kumkanya asirudie tena...X akakubaliana na Y wamtoe macho...so wakamtoa macho wakati huo Z hakufanya lolote wala kuongea lolote alibaki tu amesimama...baada ya tukio wote wakaondoka kuelekea majumbani mwao...kutokana na mr wasiwasi alkua hana macho kwa bahati mbaya akaangua kwenye kisma cha jirani akafariki dunia...hyo ndo senerio so please tumebshana sana leo anyone naomba anielezee criminal liability ya X,Y and Z