msaada please....what is criminal liability of X,Y and Z in the following senario

msaada please....what is criminal liability of X,Y and Z in the following senario

ngararumo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
173
Reaction score
43
x,y na z walkua wanamhisi mr wasiwasi kuwa ni mwizi...wakapanga wamfix mr wasiwasi sasa siku moja wakamshika wasiwasi sehem amabayo ni isolated...X akatoa suggestion wamuue mr wasiwasi,Y yeye akatoa suggestion kuwa wamtoe wasiwasi macho ili asiweze kuona vitu aibe tena,na Z akasuggest wamchape tu na kumkanya asirudie tena...X akakubaliana na Y wamtoe macho...so wakamtoa macho wakati huo Z hakufanya lolote wala kuongea lolote alibaki tu amesimama...baada ya tukio wote wakaondoka kuelekea majumbani mwao...kutokana na mr wasiwasi alkua hana macho kwa bahati mbaya akaangua kwenye kisma cha jirani akafariki dunia...hyo ndo senerio so please tumebshana sana leo anyone naomba anielezee criminal liability ya X,Y and Z
 
X and Y - conspiracy, gravely body harm.

Z - conspiracy, negligence.

Hizi assignments mnapewa sasa badala ya nyie kutumia akili zenu mnaleta humu, ngoja tuwafelishe ndo mtapata akili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kaka sasa hapo conspiracy kivip?...ngoja tuje hivi common intention ilikua nkumfunza adabu ili aache wizi probable consequense ikawa ni kifo cha wasiwasi...sasa co kwamba x na y watakua liable kwa murder?...na nn sasa position ya z?...co assignment kaka ni swal kwenye discussion tumelkuta so ikawa ndo ubshi thats why nimelileta kwa great thinkers
 
Kwangu mimi x,y,z wako liable

kama umesoma vizuri principle za criminal liability utagundua kila mmoja hapo is liable kwa nafasi yake!

Mfano xand y wao ndio sababu ya kifo cha huyo mtu kwa hiyo wako liable for murder na bila shaka wata hangukia kwenye "rusulting harm " maana ndio wamepelekea kifo cha huyo kijana.(kasome vizuri)

pili z yuko liable na anakutwa na kosa under principle of causation" maana ukiangalia hapo na yeye amehusika kutoa ushauri japo si wa kuuwa kwa hiyo Z is also liable under causation liability.

Tatu, Z is also liable under Actus mens liability( kitu ambacho mtu ana fanya au hafanyi kinacho pelekaea tatizo.Mfano Z alitakiwa awazuie wenzie wasimdhuru Mr wasiwasi au akariport polisi(hakufanya),Z alitoa ushauri wa kumdhuru Mr wasi wasi, so Z is guilt!

Nne x and y wako liable under Mens of Rea( kosa linalofanywa na mtu huku akijua ni kosa lakini ana tekeleza) mfano hapo tumeona x and y wamefanya kosa la kumpiga huyo kijana wakati wakijua ni kosa kwa hiyo wako liable!

Nadhani nimeeleweka kidogo.

Go and pass through principle of criminal liability
kaka sasa hapo conspiracy kivip?...ngoja tuje hivi common intention ilikua nkumfunza adabu ili aache wizi probable consequense ikawa ni kifo cha wasiwasi...sasa co kwamba x na y watakua liable kwa murder?...na nn sasa position ya z?...co assignment kaka ni swal kwenye discussion tumelkuta so ikawa ndo ubshi thats why nimelileta kwa great thinkers
 
The most appropriate offence to accused for is CAUSATION OF DEATH.
 
The most appropriate offence to accused for is CAUSATION OF DEATH.

hivi kwani hawawezi kuwa liable na murder kwa sababu common intention iljkua ni kumwadhibu wasiwasi alafu death ikawa probable consequense...
 
X and Y - conspiracy, gravely body harm.

Z - conspiracy, negligence.

Hizi assignments mnapewa sasa badala ya nyie kutumia akili zenu mnaleta humu, ngoja tuwafelishe ndo mtapata akili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hata mie nimeshangaa kwa kuwa it is too academic. Any way kasome Penal code utapata majibu na citing section pia utaipata huko.
 
Back
Top Bottom